Ufafanuzi wa ameta katika Kiswahili

ameta, amita

nominoPlural ameta

  • 1

    kifaa kinachotumiwa kupimia nguvu ya mkondo wa umeme.

Asili

Kng

Matamshi

ameta

/amɛta/