Ufafanuzi wa amfetamini katika Kiswahili

amfetamini

nominoPlural amfetamini

  • 1

    aina ya dawa za kulevya yenye kuchangamsha na kusisimua mwili wa mtumiaji.

Asili

Kng

Matamshi

amfetamini

/amfɛtamini/