Ufafanuzi wa amfibia katika Kiswahili

amfibia

nominoPlural amfibia

  • 1

    jamii ya wanyama wanaoweza kuishi nchi kavu na majini k.v. chura, kenge, n.k..

Asili

Kng

Matamshi

amfibia

/amfibija/