Ufafanuzi wa amidi katika Kiswahili

amidi

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

kishairi
  • 1

    kishairi kata shauri.

    amua

  • 2

    kishairi

    tegemea

Matamshi

amidi

/amidi/