Ufafanuzi wa amikto katika Kiswahili

amikto

nominoPlural amikto

Kidini
  • 1

    Kidini
    kitambaa cheupe cha kitani anachovaa begani shemasi au padri wa Kikatoliki kabla ya kuvaa mavazi mengine ya misa.

Asili

Kla

Matamshi

amikto

/amiktɔ/