Ufafanuzi wa amisa katika Kiswahili

amisa

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~ana, ~isha, ~wa

  • 1

    tawisha msichana mara tu baada ya kuvunja ungo.

Matamshi

amisa

/amisa/