Ufafanuzi msingi wa amkia katika Kiswahili

: amkia1amkia2

amkia1

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    taka mtu hali.

    sabahi, salimu

Matamshi

amkia

/amkija/

Ufafanuzi msingi wa amkia katika Kiswahili

: amkia1amkia2

amkia2

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    tangulia siku fulani.

    ‘Siku ya kuamkia Alhamisi’

Matamshi

amkia

/amkija/