Ufafanuzi wa amri katika Kiswahili

amri

nominoPlural amri

 • 1

  jambo la kushurutisha.

  ‘Toa amri’
  ‘Shika/Fuata amri’
  ‘Tangua amri’
  hukumu, agizo, dikrii, sharti

 • 2

  uwezo wa aliye na mamlaka.

  ‘Amri ya Mungu’

Asili

Kar

Matamshi

amri

/amri/