Ufafanuzi wa amsha katika Kiswahili

amsha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iza

  • 1

    toa mtu usingizini.

Matamshi

amsha

/am∫a/