Ufafanuzi wa amua katika Kiswahili

amua

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    toa uamuzi.

    hukumu, amidi, shauri

  • 2

    tenganisha watu wanaogombana au kupigana.

    suluhisha

Matamshi

amua

/amua/