Ufafanuzi wa amwa katika Kiswahili

amwa

kitenzi sielekezi

  • 1

    nyonya titi la mtu au mnyama.

    nyonya

Matamshi

amwa

/amwa/