Ufafanuzi wa amza katika Kiswahili

amza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~wa

kizamani
  • 1

    kizamani salimia mtu wakati wa asubuhi.

Matamshi

amza

/amza/