Ufafanuzi wa anasa katika Kiswahili

anasa

nominoPlural anasa

  • 1

    mambo au hali ya starehe na raha nyingi.

    ‘Maisha ya anasa’

  • 2

    kitu chenye thamani kubwa ambacho sio muhimu.

Asili

Kar

Matamshi

anasa

/anasa/