Ufafanuzi msingi wa andama katika Kiswahili

: andama1andama2

andama1

kitenzi elekezi

 • 1

  ‘Wezi wanamwandama’
  inza
  , → fuatia
  , → fuata
  , and → fuasa

 • 2

  ‘Askari wananiandama’
  peleleza

Matamshi

andama

/andama/

Ufafanuzi msingi wa andama katika Kiswahili

: andama1andama2

andama2

kitenzi elekezi