Ufafanuzi wa andamana katika Kiswahili

andamana

kitenzi sielekezi

  • 1

    tembea kwa kufuatana, agh. kwa watu wengi kuonyesha kuridhika au kutoridhika na jambo.

    ‘Watu wengi waliandamana kuunga mkono uamuzi wa serikali’

Matamshi

andamana

/andamana/