Ufafanuzi msingi wa andisi katika Kiswahili

: andisi1andisi2

andisi1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  fikiri sana.

 • 2

  elekeza

Matamshi

andisi

/andisi/

Ufafanuzi msingi wa andisi katika Kiswahili

: andisi1andisi2

andisi2

kitenzi sielekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  kuwa katika hali ya furaha.

 • 2

  starehe, tulia, burudika.

Matamshi

andisi

/andisi/