Ufafanuzi wa androjeni katika Kiswahili

androjeni

nomino

  • 1

    jamii mojawapo ya homoni inayosababisha uume katika kiumbe.

Asili

Kng

Matamshi

androjeni

/andrɔʄɛni/