Ufafanuzi msingi wa anga katika Kiswahili

: anga1anga2anga3anga4anga5

anga1

nomino

 • 1

  uwazi ulioko juu ya dunia.

  ‘Ndege amepaa angani’
  mbingu, falaki, hewa

Matamshi

anga

/anga/

Ufafanuzi msingi wa anga katika Kiswahili

: anga1anga2anga3anga4anga5

anga2

kitenzi sielekezi

 • 1

  elea hewani.

  ning’inia, angama

Matamshi

anga

/anga/

Ufafanuzi msingi wa anga katika Kiswahili

: anga1anga2anga3anga4anga5

anga3

kitenzi sielekezi

 • 1

  fanya mazingaombwe ya uchawi usiku.

  ‘Angaia, angaika, angaisha’
  wanga

Matamshi

anga

/anga/

Ufafanuzi msingi wa anga katika Kiswahili

: anga1anga2anga3anga4anga5

anga4

kitenzi elekezi

Hesabu

Matamshi

anga

/anga/

Ufafanuzi msingi wa anga katika Kiswahili

: anga1anga2anga3anga4anga5

anga5

kitenzi sielekezi

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  shika zamu usiku, agh. katika chombo cha majini.

Matamshi

anga

/anga/