Ufafanuzi wa angaanga katika Kiswahili

angaanga

kitenzi elekezi

  • 1

    tia mkononi ili kukagua.

    chunguza

Matamshi

angaanga

/anga anga/