Ufafanuzi wa angalau katika Kiswahili

angalau, angaa, angalao

kiunganishi

  • 1

    neno litumikalo kueleza jambo lililo bora zaidi.

    ‘Tungefurahi kama ungetuletea angalau mbuzi wawili’
    walau, falau, asaa

Matamshi

angalau

/angalau/