Ufafanuzi wa angalilia katika Kiswahili

angalilia

kitenzi elekezi

  • 1

    piga ramli.

    tabiri, tazamia, agua

Matamshi

angalilia

/angalilija/