Ufafanuzi wa angamia katika Kiswahili

angamia

kitenzi sielekezi~ka, ~za

  • 1

    kufa au teketea kwa vitu au watu kutokana na vita, maradhi, n.k..

  • 2

    tilifika, teketea, hiliki

Matamshi

angamia

/angamija/