Ufafanuzi wa angasa katika Kiswahili

angasa

kitenzi elekezi

  • 1

    zuia kwa mkono.

  • 2

    fukuza, furusha

Matamshi

angasa

/angasa/