Ufafanuzi wa angata katika Kiswahili

angata

kitenzi elekezi

  • 1

    beba begani.

    ‘Mama amemwangata mtoto’

Matamshi

angata

/angata/