Ufafanuzi msingi wa angavu katika Kiswahili

: angavu1angavu2

angavu1

kivumishi

  • 1

    -enye kung’aa.

    ‘Maji maangavu’
    -eupe, maanga, safi

Matamshi

angavu

/angavu/

Ufafanuzi msingi wa angavu katika Kiswahili

: angavu1angavu2

angavu2

kivumishi

  • 1

    -enye akili nzuri; -enye kuelimika.

Matamshi

angavu

/angavu/