Ufafanuzi msingi wa angaza katika Kiswahili

: angaza1angaza2angaza3angaza4

angaza1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  toa nuru au weupe.

  ng’aa, mulika

Matamshi

angaza

/angaza/

Ufafanuzi msingi wa angaza katika Kiswahili

: angaza1angaza2angaza3angaza4

angaza2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  tuliza macho mahali pamoja.

  tazama, angalia

Matamshi

angaza

/angaza/

Ufafanuzi msingi wa angaza katika Kiswahili

: angaza1angaza2angaza3angaza4

angaza3

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  kosa usingizi usiku kucha; kaa macho; kosa kulala.

  kesha

Matamshi

angaza

/angaza/

Ufafanuzi msingi wa angaza katika Kiswahili

: angaza1angaza2angaza3angaza4

angaza4

  funua akili.

Matamshi

angaza

/angaza/