Ufafanuzi wa angema katika Kiswahili

angema

kitenzi sielekezi

  • 1

    vunjika moyo; kufa moyo; kata tamaa.

Matamshi

angema

/angɛma/