Ufafanuzi wa angika katika Kiswahili

angika

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    weka kitu kwenye ukuta, kulabu au mti ili kining’inie.

    ning’iniza, aliki

Matamshi

angika

/angika/