kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa
- 1
angusha matunda kutoka juu mtini kwa mikono au kipande cha mti.
tungua
Matamshi
angua
/anguwa/kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa
- 1
Matamshi
angua
/anguwa/kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa
- 1
toa kifaranga kutoka katika yai.
totoa
Matamshi
angua
/anguwa/kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa
- 1
punguza kitu kwa kukata sehemu ya juu.