Ufafanuzi wa anguka katika Kiswahili

anguka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika

 • 1

  enda chini kwa ghafla.

  ‘Ndege imeanguka’
  poromoka, gwa

 • 2

  pata hasara katika biashara.

 • 3

  shindwa, feli, isha

Matamshi

anguka

/anguka/