Ufafanuzi msingi wa angusha katika Kiswahili

: angusha1angusha2

angusha1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    achia au fanya kitu kianguke.

    bwata

Matamshi

angusha

/angu∫a/

Ufafanuzi msingi wa angusha katika Kiswahili

: angusha1angusha2

angusha2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    ondoa madarakani k.v. viongozi wa serikali.

    ‘Waasi wameshindwa kuiangusha serikali’

Matamshi

angusha

/angu∫a/