Ufafanuzi wa ankrakifani katika Kiswahili

ankrakifani

nominoPlural ankrakifani

  • 1

    taarifa kuhusu bei ya bidhaa zinazotarajiwa kununuliwa.

Asili

Kar

Matamshi

ankrakifani

/ankrakifani/