Ufafanuzi wa antijeni katika Kiswahili

antijeni

nomino

  • 1

    dutu k.v. protini inayochochea uzalishaji wa kingamwili.

Asili

Kng

Matamshi

antijeni

/antiʄɛni/