Ufafanuzi wa aorta katika Kiswahili

aorta

nomino

  • 1

    mshipa mkubwa wa damu utokao moyoni unaosambaza damu mwilini; ateri kuu iliyopo upande wa kushoto wa moyo.

Asili

Kng

Matamshi

aorta

/aɔrta/