Ufafanuzi wa apa katika Kiswahili

apa

kitenzi sielekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    tamka jina la Mungu, mtume au mzazi kwa ajili ya kuthibitisha jambo au kitu.

  • 2

    kutia azma ya nguvu kwa kutamka jambo fulani atakalolifanya.

Matamshi

apa

/apa/