Ufafanuzi wa arbuni katika Kiswahili

arbuni

nominoPlural arbuni

  • 1

    sehemu ya malipo ya kitu ambayo hulipwa ili kukifunga kisije kikanunuliwa na mtu mwingine.

    advansi, kishanzu

Asili

Kar

Matamshi

arbuni

/arbuni/