Ufafanuzi wa ardhia katika Kiswahili

ardhia

nominoPlural ardhia

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    (iliyo pwani au kando ya mto) ada inayotozwa wenye meli kwa kutumia bandari; kupakia au kupakua shehena ya meli.

Asili

Kar

Matamshi

ardhia

/arðija/