Ufafanuzi wa ari katika Kiswahili

ari

nominoPlural ari

  • 1

    hamu ya kutaka kukamilisha jambo na kutokubali kushindwa.

    ‘Kuwa na ari’
    ghaidhi, hima, nia, kusudio

Asili

Kar

Matamshi

ari

/ari/