Ufafanuzi wa arifia katika Kiswahili

arifia

kitenzi elekezi

  • 1

    (kwenye mchezo wa karata) otea, weka dau au zabuni.

  • 2

    (kwenye kamari) kopesha.

Matamshi

arifia

/arifija/