Ufafanuzi msingi wa arifu katika Kiswahili

: arifu1arifu2

arifu1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    julisha mtu habari au jambo fulani.

    ripoti, julisha

Asili

Kar

Matamshi

arifu

/arifu/

Ufafanuzi msingi wa arifu katika Kiswahili

: arifu1arifu2

arifu2

kivumishi

  • 1

    -enye ujuzi; -enye maarifa mengi.

Asili

Kar

Matamshi

arifu

/arifu/