Ufafanuzi wa arijojo katika Kiswahili

arijojo, alijojo

kielezi

  • 1

    uendaji ovyo wa kitu au tendo kwa kukosa usimamizi bora.

Asili

Khi

Matamshi

arijojo

/ariʄɔʄɔ/