Ufafanuzi msingi wa arubaini katika Kiswahili

: arubaini1arubaini2

arubaini1 , arobaini

nominoPlural arubaini

  • 1

    kumi mara nne; makumi manne.

Asili

Kar

Matamshi

arubaini

/arubaIni/

Ufafanuzi msingi wa arubaini katika Kiswahili

: arubaini1arubaini2

arubaini2 , arobaini

nominoPlural arubaini

  • 1

    kipindi cha siku arubaini baada ya mwanamke kujifungua.

  • 2

    siku ya kumbukumbu ya siku arubaini baada ya mtu kufariki.

Asili

Kar

Matamshi

arubaini

/arubaIni/