Ufafanuzi wa arufu katika Kiswahili

arufu

nomino

  • 1

    nywele za shingoni kama za simba na farasi.

Asili

Kar

Matamshi

arufu

/arufu/