Ufafanuzi wa asali katika Kiswahili

asali

nominoPlural asali

 • 1

  maji matamu mazito, agh. hutengenezwa na nyuki au hutokana na mimea.

  ‘Asali ya miwa’
  ‘Asali ya tembo’
  ‘Asali ya nyuki’
  uki

Asili

Kar

Matamshi

asali

/asali/