Ufafanuzi wa asante! katika Kiswahili

asante!

kiingizi

  • 1

    neno la kuonyesha shukrani kwa alilotendewa mtu.

    ahsante!

Asili

Kar

Matamshi

asante!

/asantɛ/