Ufafanuzi msingi wa asasi katika Kiswahili

: asasi1asasi2

asasi1

nominoPlural asasi

  • 1

    mwanzo au asili ya kitu.

Asili

Kar

Matamshi

asasi

/asasi/

Ufafanuzi msingi wa asasi katika Kiswahili

: asasi1asasi2

asasi2

nominoPlural asasi

  • 1

    shirika linalotoa huduma k.v. elimu, afya, usalama, n.k. kwa watu katika jamii.

Asili

Kar

Matamshi

asasi

/asasi/