Ufafanuzi wa ashiria katika Kiswahili

ashiria

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    eleza kwa ishara k.v. kupungia mtu mkono, kukonyeza, n.k..

  • 2

    dokeza kwa dalili au alama.

Asili

Kar

Matamshi

ashiria

/a∫irija/