Ufafanuzi wa ashiya katika Kiswahili

ashiya

nominoPlural ashiya

kishairi
  • 1

    kishairi wakati wa jioni jua linapotua mpaka usiku.

Asili

Kar

Matamshi

ashiya

/a∫ija/