Ufafanuzi wa asidisha katika Kiswahili

asidisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kuwa asidi.

    chachisha

Asili

Kng

Matamshi

asidisha

/asidiāˆ«a/