Ufafanuzi wa asikirimu katika Kiswahili

asikirimu

nominoPlural asikirimu

  • 1

    mchanganyiko mtamu wa vitu k.v. maji, sukari na agh. maziwa au ukwaju vilivyogandishwa katika barafu na agh. huliwa katika hali ya mgando.

Asili

Kng

Matamshi

asikirimu

/asikirimu/